DOUGIEMASTA ATOA SALAMU ZA SHUKRANI KWA WEMA SEPETU BAADA YA KUTAJWA KUWA NI MIONGON MWA WATU WANAOENDELEA KUMPA MOYO MWANADADA HUYO




wemasepetu bado sijaiona in my shoe ya jana ila from what i see jana ilikuwa FUNGUKA DAY big up sana this y i like you yani hawajuagi tu sababu inayofanya nikupende...sina nguvu za gina ila i ready seen ur future baby gal few weeks ago niliandika what i dream about u here u are fulfilling them that huge to me wema....nilisema ipo siku kilamtu atataka kujitazama kupitia kioo chako

wemaaa yes its happening...this is what i call being a diva n celebrity, wasanii wengi hawajui kutumia majina yao myb wema ALIKUWA ONE OF THEM buy tuongeni ukwel now she is WEMA SEPETU..inshu ya kajala watu waliropoka sana ikiwemo mm mwenyewe but yy alipokaa kimya wengi mkaanza kumuita mnafki o anatutuma ila jana kawaonesha kuwa jina lake ni pesa nyie mliuza magazeti bila kujua upande wake sasa niwaulize do you know how much money she made from that exclusive show ya jana she even got more sponsor haya nyie mloenda kuwafaidisha global bila kulipwa poor u....being a celb unatakiwa waandishi watafute habari zako sio ww ndo uwapelekee make money from ur name,I AM PROUD OF BEING KAMANDA YA SEPETUNGA yani i hv seen this womanz future n blv me sicho hicho unacho kiwaza...zamani nilikuwa naogopa kujitangaza tokana na maneno ya watu ooh mpumbavu nk but haikuwa upumbavu wema alifall in love too deep kiasi alijisahau yy ni nani but now she is what she must be...i know wema unakufa n unataka kuniona live well tayar nilikuwa na plans zangu il surprise ema just dada meneja wang anakamilisha vitu flan n blv me itakuwa exclusive n i promic kilamtu atakuwa shocked...then plan ya kukufanyia someting u deserve ipo long time n cfanyi cz umenitangaza nah cz hiyo sio mala ya kwanza but am doing it to show the world kwamba USIMJAJI MTU TOKANA NA KAVA YAKE YA NJEE....SOMA KITABU CHAKE NDIO UTOE KASOLO,,naona nafasi haitoshi kilicho baki nakupenda mommy n alot SEE YOU SOON....usichukie mapema jmn kama kwenu kunamgao wa maji shukuru cz hata ukioga kwa wema huwendiiii
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment