Watu mbali mbali wakiwemo waigizaji wa filamu hapa nchni wanaendelea kuonyesha jinsi walivyoguswa na kifo cha Mh. Captain John Komba kupita kurasa zao za mitandaoni usasani mtandao wa Instagram, wamekuwa kuweka picha yake na kuandika maneno ya kumtakia kheri huko aendako.Mwigizaji Wema Sepetu nae ni mojawapo alieguswa na msiba huu na kuandika mameno kuonyesha majonzi alionayo na kutoa kuwa yeye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi (CCM)kama alivyokuwa marehemu.“Dah ni pigo kubwa sana.... RIP Mwana CCM mwenzangu....
. RIP Baba angu... RIP Captain.... Mbele yako nyuma yetu... Taifa this tym linahuzunika kwako aisee... Kwaheri Baba...”-Wema aliandika.
Baadhi ya waigizaji nao waliandika kwenye kurasa zao mtandaoni kama ifuatayo;
“Pumzika kwa amani kaka yangudaima tutakukumbuka”-JB
“R. I. P. Mh komba kifo nimlango wote tutapita ktk mlango huo na hakuna wakukwepa mlango pole kwa familia tulimpenda ila mungu kampenda zaidi mbele yake nyuma yetu amin mungu tunakuomba umpokee ndugu yetu umueke panapo stahili amin tutakukumbuka tumezoeakusikianyimbo za maombolezo toka kwako dah nakosa jibu swali ninalojiuliza je ninani atakae imba kwa kukuenzi na kukusindikiza ktk safari yako hakika nipengo pole kwa familia
pole kwa kila alieguswa na msiba huu tuwe pole wa tanzania wote”-Riyama
pole kwa kila alieguswa na msiba huu tuwe pole wa tanzania wote”-Riyama
“MAY God rest his soul in peace”-Shamsa
“Rest in Peace Captain John Komba…..”-Lulu
0 comments:
Post a Comment