Director Godfather kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake


Muongozaji maarufu wa video Africa God Father anampango wa kufanya ziara Africa Mashariki. Kwamujibu wa post yake ziara hii itakuwa ya siku saba tu.
God Father amesha fanya video za wasanii kama Ay, Diamond, Linnah, Shetta, Ali Kiba na Ommy Dimpoz.
God Father anakuja na watu wake wa kazi na atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa huku kama wata taka.
godfather-1godfather-2
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment