New Video: Sauti Sol - Nerea


Baada ya kusumbua vilivyo kwa kibao chao "Sura Yako" kundi la vijana wanne wa Kenya "Sauti Sol"wametoa tena kazi nyingine kali wakishirikiana na wasanii Josh na Amos inayokwenda kwa jina la NEREA.
Kazi iko hapa unaweza kuitazama muda wowote:

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment