Msanii Jason Derulo baada ya kuachana msanii wa rnb Jordin Sparks
ameanzisha mahusiano na rapper Dominic Wynn Woods aka Sage the Gemini.
Walianza kuweka picha zao instagram kama mwezi sasa bila kuweka ujumbe wowote ila kwa mujibu wa E, Jordin na Gemini wameanza kuwa pamoja muda mfupi baada ya kuachana na Jason Derulo.

0 comments:
Post a Comment