Picha: 50 Cent na Floyd Mayweather Jr wapatana


Ikiwa zimebaki siku chache kabla ya pambano la Floyd Mayweather dhidi ya Manny Pacquiao mnamo May 2 kwenye ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas, Floyd na rafiki yake wa zamani 50 Cent wamemaliza tofauti zao.
50 Cent ameonekana kwenye picha na Floyd “Money” Mayweather Jr waliyopiga wakati 50 Cent amemtembelea Floyd kwenye gym anayofanyia mazoezi.
Kwenye instagram ya 50 Cent aliweka picha yao pamoja na kuandika “THE original MONEY TEAM, you gotta love it. My brother ready, may 2 don’t get scared now,” #FRIGO#EFFENVODKA #SMSAUDIO.
50-ccent


Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment