\
Msanii Joslin na Mr Blue hawaelewani akiongea na 255 Joslin amesema hawajawahi kuwa na tofauti ila kwa sababu walitoka wote kwa wakati mmoja na wote wakawa wanafanya vizuri watu wakazusha story ya namna hiyo.
Joslin amesema mara nyingi walishafikiria kufanya collabo lakini majukumu yamefanya kuwe na ugumu hilo kutimia, lakini anaamini kuwa ikitokea wakakutana studio lazima wafanye collabo.
Share this:
About EDITOR
0 comments:
Post a Comment