Sitti Mtemvu ambaye ushindi wake uizua gumzo na kupelekea mashindano hayo kufungiwa!
Sakata la kufungiwa kwa miaka miwili kwa shindamo la Miss Tanzania limechukua sura mpya baada ya Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo kulirudisha suala hilo BASATA kwa kuandika barua ya kuomba msamaha.
“Tumeandika barua kuomba msamaha BASATA kama tulivyoelekezwa kutoka Wizarani, hivyo tunasubiri majibu..”—alisema Hidan Rico, Ofisa Habari wa Miss Tanzania.
Kampuni ya Lino International Agency ilikata rufaa ya kufungiwa kufanya mashindano hayo ya Miss Tanzania ambayo wao ndio walikuwa waandaaji.
Gazeti la TANZANIA DAIMA walifanya jitihada za kuwapata wahusika wa BASATA wazungumzie kuhusu suala la kuandikiwa barua lakini hakuna mhusika yoyote aliyepatikana.
-MTANZANIA

0 comments:
Post a Comment