Siku chache baada ya mwanamuziki Nick Minaj kuonyesha mtandaoni kidole chake kikiwa na pete ya uchumba, mama wa nyota huyo ameeleza kuwa binti yake huyo hajachumbiwa.
akizungumza na mtandao wa tmz.com, mama huyo alieleza kuwa hata yeye alishtushwa na taarifa hizo lakini alipomuuliza binti yake alimhakikishia kuwa pete hiyo ni urembo.
Nick Minaj akiwa na mamaake.
"Nimejaribu kumuuliza mara kadhaa,ameniambia sio ya uchumba hivyo namuamini binti yangu kuwa pete ile ni ameivaa kama pambo "alisema.Kuzagaa kwa picha hiyo kuliibua hisia kuwa mwanamuziki huyo ameingia rasmi kwenye uchumba na mpenzi wake Meek Mill.
0 comments:
Post a Comment