DIAMOND PLATINUMZ HAKIKA AMEDATA ILE MBAYA KWA ZARI ..ANGALIA HAPA ANACHOMFANYIA TUMBONI



Diamond Platinums akibusu Tumbo la Mpenzi wake Zari the big Boss Lady leo zanzibar walipokuwa Mapumzikoni mara baada ya Diamond Jana usiku kuangusha Bonge la Show bab kubwa Katika viwanja vya Ngome Konge Zanzubar.Zari ambaye ni Mjamzito wamwkuwa wakitenda Vyombo vya habari Pamoja na Mitandao ya Kijamii kutokana na Uhusiano wao,Katika Mitandao ya Kijamii kwa sasa Ni Nadra sana Kupita siku mbili bila uhusiano wa Mtanzania Mwenzetu Diamond Pamoja na Mwanadada Huyu Mrembo Zari Kutoka Jijini Kampala Nchini Uganda.Mwanadada Zari Amabye si Mwenye Maneno Mengi Wiki hii yaani Tarehe 1.5 2O15 Atafanya Show yake ijulikanayo kama White Party katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.Endelea Kuwa nasi kwa kila Tukio linalojiri Kuhusu Wawili Hawa,

       




Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment