NEW VIDEO; JOH MAKINI-NUSU NUSU , ITAZAME HAPA


Video Mpya ya Msanii Joh Makini wimbo unaitwa Nusu Nusu, Video Hii Imefanywa South Africa na Kwenye Video ya Ngoma Hii Unawaona Jux, G-nako, Nahreel na Shetta Wakisupport Video kuwa Kali Kwa Kutupia Swaga zao. 

Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment