Umeiona hii ya Jay Z na Beyonce kujiachia kwenye Pickup?
Jay Z na Beyonce wamenaswa na mapaparazi wakiendeleza bata la kufikisha miaka saba tangu wafunge pingu za maisha. Ni kama inachekesha kidogo kwani wawili hao wnye mali na magari ya kifahari waliamua kupanda nyuma ya gari aina ya Pickup na kuendeleza furaha yao huko visiwa vya Hawaii.
Baadhi ya wadau wameita tukio hilo kama kitendo cha wawili hao kujaribu kuishi maisha ya kawaida kwani kitendo cha wao kupanda Pickup sio cha hadhi ya magwiji hao wa muziki.
Zicheki picha halafu utakomenti:
0 comments:
Post a Comment