Diamond ameshafanya kolabo na Usher Rymond

Baada ya maneno maneno na baadhi ya stori zinazomhusisha staa wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maaarufu zaidi kama Diamond kufanya kolabo na Chris Brown. Leo Diamond ameka wazi kuwa amshafanya wimbo na mwanamuziki wa Marekani ingawa hakumtaja. Akizungumza katika kipindi cha 360 kinachorushwa na Clouds TV, mkali huyo wa 'Nasema Nawe' ameweka wazi kuwa amshafanya kazi na msanii wa Marekani ambaye yeye anamkubali zaidi.
 http://www.hashtagsquare.com/wp-content/uploads/2014/09/diamond-platnumz293m-710x710.jpg
 Diamond aliwataja wasanii anaowakubali kuwa ni Nick Minaj, Chris Brown na Usher Rymond lakini kati ya hao Diamond alishakiri mara kadhaa kuwa anamkubali zaidi Usher Rymond. Hivyo basi Diaamond anamaanisha kuwa amshafanya kolabo na mkali huyo wa 'Good Kisser' na iko stoo.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment