Ranji
ni msanii ambaye anafanya kazi zake chini ya management ya #Mkubwa na
#Wanawe. leo hii anakuja na track mpya ambayo imefanywa ndani ya studio
za #M-Town Records akimshirikisha #KweliMC. Na imetengenezwa na #Laizer
EX.
wakati huo Ranji ni mmoja kati ya wasanii wachache wanaowakilisha timu ya wasanii kutoka Kilwa inayofahamika kama KCMBC.
Kaa tayari kusikiliza track hiyo yenye kisa halisi kwa maana ya #TRUESTORY kuhusu maisha ya siku zote katika jamii yetu.
#Hatareeee.
0 comments:
Post a Comment