Rapa Ambwene Yesaya "AY" amepost maneno ya kukuwezesha wewe ambaye una ndoto za kuwa fulani katika maisha yako.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook AY ameandika "Kuwa wewe, fanya yako, kujifananisha na mtu mwingine kutakuondolea furaha yako bure!!"
Kuwa wewe, fanya yako, kujifananisha na mtu mwingine kutakuondolea furaha yako bure!!Maneno haya yanaweza kukuongoza kuwa wa kipekee katika kile ambacho unakiwaza.
Posted by A.Y on Wednesday, August 5, 2015
0 comments:
Post a Comment