MDAU WANGU MCHEKI HUYU JAMAA ALIYEPIGA BEAT YA HAPPY WA PHARELL KWA KUTUMIA GLASS ZA MAJI Unknown 10:04 AM Edit Jamaa anaitwa Dan Newbie. Ameamua kuonesha ni jinsi gani ameielewa ngoma ya Pharell Williams "Happy" na akaamua kufanya mautundu kwa kutumia glass za maji na makorokoro mengine kama unavyoyaona mezani. Hebu icheki halafu tuone: Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment