VIDEO: MAPOKEZI YA DIAMOND PLATNUMZ KUTOKA AFRIMMA




Mdau wangu kama ulihadithiwa kuhusiana na mapokezi ya Diamond Platnumz kutoka Marekani alikotwaa tunzo ya mwanamuziki bora wa Afrika Mashariki, hii ndo time ya kushuhudia nini kilitokea.
Diamond Platnumz alipata mapokezi ya kishujaa alipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere(NIA). Ikodolee video hapa na ikibidi idownload ufanye kama unashea na washkaji:




Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment