DIAMOND APIGWA CHINI TUZO ZA HEADIES

Diamond Platinum ameshindwa kufurukuta katika tuzo za muziki za Headies huko nchini Nigeria baada ya kipengele alichokuwa akiwania cha mwanamuziki bora wa Afrika wa mwaka kuchukuliwa na mwanahiphop kutoka nchini Ghana, Sarkodie.
Baadhi ya wasanii walioshinda tuzo nyingi katika tuzo hizo ambazo zilitolewa siku ya jana huko Nigeria ni Davido na Patoranking ambao walishinda tuzo mbili kila mmoja.
Nimetupia hapa orodha nzima ya washindi katika kila kipengele ujionee mwenyewe mdau wangu.
Rookie of the Year: Reekado Banks
Best R ‘n’ B Single: 2face (Let somebody love you)
Best Pop Single: Mavins (Dorobucci)
Best Rap Single: Pyhno (Parcel)
Best Street Hop: Oritsefemi (Double Wahala)
Best Vocal Performance (Male): Timi Dakolo (Iyawo Mi)
Best R ‘n’ B Pop Album: Sean Tizzle (The Journey)
Best Vocal Performance (Female): Niyola
Best Rap Album: Olamide (Baddest Guy Ever Liveth)
Best Reggae Dancehall Single: Patoranking (Girlie O
remix)
Best Collabo: Wizzy Pro (Emergency)
Hip Hop World Revelation: Kcee
Recording of the Year: Cobhams Asuquo (Ordinary
People)
Best Alternative Song: Bolaji (BOJ)
Producer of the Year: Don Jazzy
Lyricist on the Roll: Jesse Jagz
Next Rated: Patoranking
Best African Artiste of the Year: Sarkodie
Best Music Video Director: Clarence Peters
Song of the year: Davido (Aye)
Album of the Year: Olamide
Artiste of the Year: Davido
Hall of Fame: Sir Victor Uwaifo


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment