WEMA SEPETU AFUNGUKA LIVE KUMPENDA ALLY KIBA,AMPONDA DIAMOND KWA MARA NYINGINE NA ADAI YEYE SI SHABIKI WAKE!!



Malkia wa Filamu za Kibongo kutoka Kiwanda cha Bongo Movie Wema Sepetu ambaye mwaka jana aliachana Rasmi na Aliyekuwa mpenzi wake msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayemiliki Hit single ya Nasema Nawe aliyomshirikisha Malkia wa Taarabu nchini Khadja Kopa, Diamond Platnumz, Licha ya
kwa wamechana lakini watu wamekuwa na maswali mengi kama ni kweli Wema hamsi hata kidog Diamond amefunguka kwenye mahajiano na kipindi cha Kabali cha EFM mengi ambayo tulikuwa hatujia kabisa bonyeza PLAY kusikiliza au bonyeza
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment